MAISHA y Ndoa ni maisha matamu na yalioyo na baraka ya Mungu na kwa sisi waislam huamini ndoa ni ibada na ni nusra ya mwanaume na mwanmke katika kuitekeleza dini yake,,nadhani kwa machache napata sababu ya kuamini na kukubali maisha ya ndoa ni maisha mazuri na wengi wanatamani maisha haya yenye taswira pana na yanayohitaji utayari katika kuyaendea.
Swali ni je kwa nini maisha ya ndoa huwa tofauti na matarajio ya wengi mara waingiapo katika ibada hiii!
No comments:
Post a Comment